TANGAZO


Wednesday, December 12, 2012

Rais Kikwete alipokutana na Waandishi na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari Ikulu jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Kikwete akipozi kwa picha na Mhariri wa Jumatano wa gazeti la Tanzania Daima, Martin Malera Ikulu.
Rais Kikwete akipozi na Anna wa Idara ya habari, Maelezo
Rais Jakaya Kikwete na Fraja Kihongole wa Chanel Ten
Rais Kikwete akiwa na Salim Mkambala wa ITV
Rais Kikwete akiwa na Pius Ntiga wa gazeti la Uhuru
Rais Kikwete akiwa na Ufo Saro wa ITV
Rais Kikwete akiwa na Albert Kawogo wa gazeti la Sauti Huru
Rais Kikwete akiwa na Felix Andrew wa gazeti la Gurdian

Rais Kikwete akiwa na Daniel Sembelia wa gazeti la The African
Rais Kikwete akiwa na Salum Mwinyimkuu wa Clouds TV
Rais Kikwete akiwa na John Daniel wa Raia Mwema
Rais Kikwete akiwa na Papaa Max wa Mlimani TV
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mzee Yassin wa gazeti la Hoja
Rais Kikwete akiwa na Muchunguzi wa gazeti la Gurdin 
Rais Kikwete akiwa na Daniel Mwaijega wa gazeti la Mwananchi
Rais Kikwete akisalimiana na Ramadhan Mkomwa wa gazeti la Uhuru
Rais Kikwete akiwa na Ramadhan Mkomwa wa gazeti la Uhuru
Rais Kikwete akiwa na Mgaya Kingoba wa gazeti la Habari Leo
Rais Kikwete akiwa na Damas Kanyaboya wa gazeti la Citizen
Rais Kikwete akiwa na Eckland Mwaifisi wa gazeti la Majira
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Godfrey Chongolo wa gazeti la Uhuru
Rais Kikwete akiwa na George Njogopa wa gazeti la Mwananchi na Sauti ya Ujerumani (Deuch Welle)
Rais Kikwete akiwa na Joseph Mpangala wa Star TV
Rais Kikwete akiwa na Bakari Kimwanga wa gazeti la Mtanzania 
Rais Jakaya Kikwete akiwa Julian Msacky wa gazeti la Jambo Leo

1 comment:

  1. Ni Rais wa kwanza na pekee kuwa karibu na watu wanaofanyakazi katika mhimili wa Nne

    ReplyDelete