Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Hifadhi za Taifa(TANAP), Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla fupi ya
kuwapokea wapanda mlima zaidi ya 30, waliopanda Mlima Kilimanjaro Desemba 6 kwa
lengo la kupandisha bendera ya Taifa kwa ajili ya sherehe za miaka 51 ya Uhuru
wa Tanzania.
Mwenyekiti wa Bodi ya
Utalii Tanzania (TTB), Balozi Charles Sanga akizungumza wakati wa hafla fupi ya
kuwapokea wapanda mlima zaidi ya 30, waliopanda Mlima Kilimanjaro Desemba 6 kwa
lengo la kupandisha bendera ya Taifa kwa ajili ya sherehe za miaka 51 ya Uhuru
wa Tanzania.
Mwenyekiti wa Bodi ya
Serengeti Breweries, Jaji Mark Bomani akizungumza wakati wa hafla fupi ya
kuwapokea wapanda mlima zaidi ya 30, waliopanda Mlima Kilimanjaro, Desemba 6 kwa
lengo la kupandisha bendera ya Taifa kwa ajili ya sherehe za miaka 51 ya Uhuru
wa Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,
Leonidas Gama akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwapokea wapanda mlima zaidi
ya 30, waliopanda Mlima Kilimanjaro, Desemba 6 kwa lengo la kupandisha bendera ya
Taifa kwa ajili ya sherehe za miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania.
Mkurugenzi wa Serengeti
Breweries, Steven Gannon akipokea cheti kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii,
Balozi Khamisi Kagasheki baada ya kufanikiwa kufika Uhuru Peak.
Askari wa Jeshi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ), Private Amani Kasanga akipokea cheti kutoka kwa Waziri wa Maliasili
na Utalii, Balozi Khamisi Kagasheki baada ya kufanikiwa kufika Uhuru Peak.
Askari wa Jeshi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kijakazi Marijebu akipokea cheti kutoka kwa Waziri wa
Maliasili na Utalii, Balozi Khamisi Kagasheki baada ya kufanikiwa kufika Uhuru
Peak.
Baaadhi ya washiriki wa
kupanda Mlima Kilimanjaro, walioongozwa na Jenerali mstaafu wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali George Waitara wakiwa katika hafla ya mapokezi hayo.
Mbunge wa Jimbo la Koani
Zanzibar Amina, akiwa na washiriki wengine waliopanda Mlima Kilimanjaro. (Picha
zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi)
No comments:
Post a Comment