Ofisa Mtendaji na Mafunzo wa Jeshi la Wanamaji wa Tanzanai, Brigedia Jenerali Abdallah Athuman Mwemnjudi (kushoto), akizungumza jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kuanza kwa zoezi liitwalo 'Cutlass Express 2', linaloshirikisha Wanamaji kutoka nchi za Marekani, Msumbiji, Netherland na Tanzania, likiwa na lengo la kubadilishana uzoefu na mawazo juu ya kupambana na uharamia katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Kulia ni Kiongozi wa Kundi namba 1 la wanamaji wa NATO Commodore Ben Bekkering. (Picha zote na MAELEZO-Dar es Salaam)
Kiongozi wa Kundi namba 1 la Wanamaji wa NATO Commodore Ben Bekkering (kulia), akijibu maswali ya waandishi wa habari leo, mjini Dar es Salaam kuhusu kuanza kwa zoezi liitwalo Cutlass Express 2, linaloshirikisha wanamaji kutoka Marekani, Msumbiji, Netherland na Tanzania likiwa na lengo la kubadilishana uzoefu na mawazo juu ya kupambana na uharamia katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Kushoto ni Ofisa wa Mtendaji na Mafunzo wa Jeshi la Wanamaji wa Tanzanai Brigedia Jenerali Abdallah Athuman Mwemnjudi .
Ofisa Mtendaji na Mafunzo wa Jeshi la Wanamaji wa Tanzanai, Brigedia Jenerali Abdallah Athuman Mwemnjudi (kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kuanza kwa zoezi liitwalo 'Cutlass Express 2', linaloshirikisha Wanamaji kutoka nchi za Marekani, Msumbiji, Netherland na Tanzania, likiwa na lengo la kubadilishana uzoefu na mawazo juu ya kupambana na uharamia katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Kulia ni Kiongozi wa Kundi namba 1 la wanamaji wa NATO Commodore Ben Bekkering. (Picha na MAELEZO-Dar es Salaam)




No comments:
Post a Comment