Luteni Jeneral Abdulrahman Shimbo, aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akikagua gwaride, lililoandaliwa kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kustaafu kulitumikia jeshi hilo.
 |
| Kikosi cha Polisi kikipita kutoa heshima katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Jehi la Wananchi (JWTZ), Kurasini leo. |
Kikosi cha Polisi kikipita kutoa heshima zake katika hafla.
 |
| Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kikipita kutoa heshima zake katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jeneral Abdulrahman Shimbo |
Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo akipeana mkono na mama yake mzazi, wakati akiagwa rasmi baada ya kustaafu kulitumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kurasini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya maofisa wa JWTZ, wakiwa katika sherehe ya kumuaga Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo.
Kikosi cha Brass Band ya JWTZ kikipita kutoa heshima katika hafla hiyo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akipeana mkono na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo (kushoto) wakati wa sherehe za kumuaga.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, (CDF), Jenerali Davis Mwamunyange, akimkabidhi cheti cha utumishi baada ya kustaafu, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Abdulrahman Shimbo (kushoto), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 |
Luteni Jeneral Abdulrahman Shimbo, akiwa kwenye gari la JWTZ akiwaaga wanajeshi waliojipanga kwa ajili ya kumuaga leo.
|
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo |
 |
Luteni Jeneral Abdulrahman Shimbo, akipita kwenye gari la jeshi wakati akiagwa rasmi leo.
|
Baadhi ya ndugu na jamaa wakimpongeza aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo
No comments:
Post a Comment