Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe akizungumza na Kiongozi wa Mabalozi nchini ambaye pia ni Balozi wa Congo wakati wa siku ya Uhuru wa nchi ya Algeria usiku wa kuamkia leo, jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakipata chakula katika hafla hiyo.
| Baadhi ya wananchi wenye asili ya India wakiwa katika hafla hiyo. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe (katikati), akiwa na Balozi wa Algeria (kushoto) na Balozi wa Nigeria, Dk. Ishaya Majanbu.
Wasanii wa kundi la Cheetah Theatre wakitumbuiza katika hafla hiyo.

No comments:
Post a Comment