Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia wakati wa kuzindua barabara na nembo ya jiji la Arusha, jijini humo leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi nembo ya jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo leo.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiwa ameketi bega kwa bega na Mama Mary Chatanda katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua rasmi nembo ya jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo wa kuwa mkazi wa heshima wa Arusha toka kwa Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji.
![]() |
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo baada ya kuzindua wodi ya Wazazi |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha ufunguo aliokabidhiwa na Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji
Rais Jakaya Kikwete akizindua moja ya Hospitali za Jiji la Arusha leo.











No comments:
Post a Comment