Wachezaji wa Yanga pamoja na Azam wakiingia Uwanjani.
Benchi la Ufundi la timu ya Azam
Benchi la ufundi la timu ya Yanga
Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu akiipangua ngome ya Azam kabla ya kuachia kiki kali na kuipatia timu yake bao la kwanza.
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akichuana na beki wa Azam, FC, Said Morad katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia
Mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiza akiwaongoza wachezaji waenzake kushangilia bao la kwanza la lililofungwa na Didier Kavumbagu (kushoto) wakati wa mchezo wa Ligu Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.
Golikipa wa Azam, Ally Mwadini akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wao dhidi ya Yanga.
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Azam
Raha ya ushindi, hureeeeeeeeeeee

No comments:
Post a Comment