TANGAZO


Sunday, November 4, 2012

Brigitte Anyakuwa Taji la Redd's Miss Tanzania 2012


Redds Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, akiwapungia mashabiki waliokuwa wamejazana kuangalia shindao hilo, ukumbi wa Hoteli ya Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.
Redds Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred akipozi baada ya kutangazwa kushinda taji hili usiku wa kuamkia leo, ukumbi wa Hoteli ya Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.
 Redds Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred (kati) akiwa na washindi wa pili, Eugine Fabian na mshindi wa tatu, Edna Sylvester
Warembo waliojishindia nafasi tano za mwanzao, wakipozi kwa picha 
 Redds Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, akionesha fungo za gari lake alilozawadiwa kwa kunyakua taji hilo.
Redds Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, akilijaribu gari lake alilozawadiwa kwa kunyakua taji hilo.
  Redds Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred akiwa na mama yake, Vardiana Augustine Mashingia
Zawadi ya gari alilokabidhiwa Redds Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, baada ya kunyakua taji hilo. 
Baadhi ya nakshi zilizopambiwa jukwa la kumtafuta mrembo huyo.
 Baadhi ya wadau wa urembo wakifuatilia kwa makini shindano hilo.
 Baadhi ya wageni walioingia kwenye shindano hilo, wakifuatilia kwa makini shindano hilo.
 Baadhi ya wamiliki wa mitandao  ya kijamii wakiwa katika Ukumbi wa Ubungo Plaza ambapo jumla
ya warembno 30 walipanda jukwaani kuwania taji la Redds Miss Tanzania 2012.

Warembo wakiwa katika vazi la ufukweni
Waandishi wa habari wakifuatilia shindano hilo.
Baadhi ya washiriki Redds Miss Tanzania 2012, wakiwa katika shoo ya ufunguzi wa shindano hilo.
Baadhi ya washirikiRedds Miss Tanzania 2012, wakiwa katika shoo ya ufunguzi wa shindano hilo.
 Wadau wa shindano hilo, Juma Pinto (kulia) na William Malecela wakiwa katika fainali ya Miss Tanzania 2012. (Picha zote kwa hisani ya Habari Mseto Blog)

No comments:

Post a Comment