Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizindua jiwe msingi la Hospitali ya Olturumeti ya Halmashauri ya
Wilaya ya Arusha leo. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimpa pole mgonjwa, Wilson
Kivuyo (80), aliyelazwa katika Hospitali mpya ya Olturumeti aliyoifungua katika
Halmashauri ya Wilaya ya Arusha leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Arusha, Halifa Hidda. (Picha na Ikulu)

No comments:
Post a Comment