Mchezaji Kipre Tchetche
wa Azam FC (kushoto), akiwania mpira na Juma Jabu wa Coastal Union katika mchezo
wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Chamazi Mbagala, Dar es Salaam
leo
Mchezaji Salum Aboubakar wa Azam FC, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Mbwana Hamis wa Coastal Union wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa Uwanja wa Azam, Chamazi Mbagala, Dar es Salaam. leo

No comments:
Post a Comment