Askari Polisi akiwa amedhibiti mmoja wa vijana waliokuwa wakitaka kuandamana kusinikiza kuachiawaa huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda leo jijini.
Askari Polisi akiwa amemshikilia kijana anaye daiwa kuwa Mwisiliam wakati wa kutaka kuandamana kupinga kutopatiwa dhamana kwa Katibu wa Jumiya na Taasisi za Kiislsmu kutopatiwa dhamana/
Askari Polisi akiwa amesiamama kando ya barabara, akiangalia hali ya utuli kwenye maeneo ya Mahakama.
Maeneo ya kufanyia bishara yakiwa yako wazi wakati ulinzi ukizidi kuimarishwa mitaani na barabarani leo
| Askari Polisi wakiwa kwenye gari lao huku wananchi wakikimbia mbele yao jiji leo |




No comments:
Post a Comment