Kaimu Katibu Mtendaji wa (MCT), John Mireny akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu tamko la Tume ya Utangazaji Zanzibar, kukifungia chombo cha TV na Radio.
Kaimu Katibu Mtendaji wa MCT, John Mireny akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari mjini Zanzibar kuhusu tamko la Tume ya Utangazaji Zanzibar, kukifungia chombo cha TV na Radio iwapo kitaripoti habari za UAMSHO zenye kuashiria uvunjifu wa amani.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini juu ya ufafanuzi uliotolewa na Kaimu Katibu Mtendaji wa MCT, John Mireny huko katika ukumbi wa MCT, uliopo Mlandege mjini Zanzibar leo .

No comments:
Post a Comment