Belinda Mbogo wa Kanda ya Kati
Elizabeth Diamod wa Kanda ya Kati
Lightness Michael wa Kanda ya Kati
Waridi Frank kutoka Kanda ya Kaskazini.
Anande Radhiel kutoka Kanda ya Kaskazini.
Irene Veda kutoka Kanda ya Mashariki.
Fatma Ramadhan kutoka Arusha.

Happyness Rweyemamu kutoka Kanda ya Ziwa.
Babylove Kalalaa kutoka Kanda ya Ziwa.
Noella Michael kutoka Ilala.
Rose Lucas kutoka Kanda ya Mashariki.
Joyce Baluhi kutoka Kanda ya Mashariki.
Karen Elias kutoka Nyanda za Juu Kusini.
Jesca Haule kutoka Temeke.
Vency Edward kutoka Nyanda za Juu Kusini.
Flaviana Maeda kutoka Temeke.
Zuwena Nassib kutoka Open University.
Eda Sylvester kutoka Temeke.
Catherine Masumbigana kutoka Temeke.
Diana Hussein kutoka Kinondoni - Dar Indian Ocean.
Phina Revocatus kutoka High learning.
Kudra Lupatu kutoka Kinondoni - Dar Indian Ocean.
Mary Chizi kutoka Ilala.
Washiriki wa Redds Miss Tanzania 2012, wakiwa katika picha ya pamoja kwenye kambi yao ya mazoezi. Leo jioni watapanda kwenye jukwa la Hoteli ya Ubungo Plaza kwa ajili ya kuwania Umalkia wa Redd's Miss Tanzania 2012 kwa kushindana katika nyanja mbalimbali, zikiwemo kutembea, za mavazi ya ubunifu, ufukweni na la kutokea pamoja na kujibu maswali watakayoulizwa na majaji wa shindano hilo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

å





















No comments:
Post a Comment