Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Saidi Ali Mbarouk, akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diane Conrner, kuhusu mambo mbalimbali ya michezo na maendeleo ya Digitali, hapo ofisini kwake, Kikwajuni mjini Zanzibar leo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Saidi Ali Mbarouk, akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diane Conrner, alipotembelewa na balozi huyo, ofisini kwake, Kikwajuni mjini Zanzibar leo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Saidi Ali Mbarouk, akimpa zawadi ya kinyago cha mlango wa Zanzibar, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diane Conrner, baada ya kumaliza kuzungumza naye kuhusu mambo mbalimbali ya michezo na maendeleo ya Digitali ofisini kwake, Kikwajuni mjini Zanzibar leo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Saidi Ali Mbarouk, akipeana mkono na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diane Conrner, baada ya kufanya naye mazungumzo kuhusiana na mambo mbalimbali ya michezo na maendeleo ya Digitali hapo ofisini kwake, Kikwajuni mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment