Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC), Onesmo Ngowi, ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Afrika (IBF), Shirikisho la Mashariki na Afrika ya Kati (ECAPBF), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati bondia Francis Cheka (katikati), alipokuwa akisanini mkataba wa kupigana katika pambano la kuwania ubingwa wa Mabara wa IBF, Dar es Salaam leo, kati yake na Benard Saimon wa Ujerumani, pambano litakalofanyika Novemba 17, mwaka huu nchini humo. Kushoto ni Meneja wake, Juma Mabakila, ambaye pia ni Meneja Masoko wa Jambo Concepts Ltd. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC), Onesmo Ngowi, ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Afrika (IBF), Shirikisho la Mashariki na Afrika ya Kati (ECAPBF), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati bondia Francis Cheka (katikati), alipokuwa akisanini mkataba wa kupigana katika pambano la kuwania ubingwa wa Mabara wa IBF, Dar es Salaam leo, kati yake na Benard Saimon wa Ujerumani, pambano litakalofanyika Novemba 17, mwaka huu nchini humo. Kushoto ni Meneja wake, Juma Mabakila, ambaye pia ni Meneja Masoko wa Jambo Concepts Ltd.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC), Onesmo Ngowi (hayupo pichani), ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Afrika (IBF), Shirikisho la Mashariki na Afrika ya Kati (ECAPBF), alipokuwa akifafanua jambo, wakati bondia Francis Cheka (hayupo pichani), alipokuwa akisanini mkataba wa kupigana katika pambano la kuwania ubingwa wa Mabara wa IBF, Dar es Salaam leo, kati yake na Benard Saimon wa Ujerumani, pambano litakalofanyika Novemba 17, mwaka huu nchini humo.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC), Onesmo Ngowi (hayupo pichani), ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Afrika (IBF), Shirikisho la Mashariki na Afrika ya Kati (ECAPBF), alipokuwa akifafanua jambo, wakati bondia Francis Cheka (hayupo pichani), alipokuwa akisanini mkataba wa kupigana katika pambano la kuwania ubingwa wa Mabara wa IBF, Dar es Salaam leo, kati yake na Benard Saimon wa Ujerumani, pambano litakalofanyika Novemba 17, mwaka huu nchini humo.
Bondia Francis Cheka (katikati), akizungumza kuelezea alivyojipanga katika kukabiliana na Mjerumani Benard Saimon katika pambano leo, litakalofanyika Novemba 17, mwaka huu nchini Ujerumani baada ya kusaini mkataba wa kupigana naye, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC), Onesmo Ngowi, ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Afrika (IBF), Shirikisho la Mashariki na Afrika ya Kati (ECAPBF) na kushoto ni Meneja wa Cheka, Juma Mabakila, ambaye pia ni Meneja Masoko wa Jambo Concepts Ltd.
Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC), Onesmo Ngowi, ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Afrika (IBF), Shirikisho la Mashariki na Afrika ya Kati (ECAPBF), akifafanua jambo, wakati alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati bondia Francis Cheka (katikati), alipokuwa akisanini mkataba wa kupigana katika pambano la kuwania ubingwa wa Mabara wa IBF, Dar es Salaam leo, kati yake na Benard Saimon wa Ujerumani, pambano litakalofanyika Novemba 17, mwaka huu nchini humo. Kushoto ni Meneja wake, Juma Mabakila, ambaye pia ni Meneja Masoko wa Jambo Concepts Ltd.
Meneja wa Bondia Francis Cheka (katikati), Juma Mabakila, ambaye pia ni Meneja Masoko wa Jambo Concepts Ltd, akizungumza kuhusu matayarisho ya maandalizi ya bondia wake huyo kabla ya kutwangana na Mjerumani, Benard Saimon, pambano litakalofanyika Novemba 17, mwaka huu nchini Ujerumani. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC), Onesmo Ngowi, ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Afrika (IBF), Shirikisho la Mashariki na Afrika ya Kati (ECAPBF).
Bondia Francis Cheka, akisaini mkataba wa kupigana katika pambano la kuwania ubingwa wa Mabara wa IBF, Dar es Salaam leo, kati yake na Benard Saimon wa Ujerumani, pambano litakalofanyika Novemba 17, mwaka huu nchini humo. Kushoto ni Meneja wake, Juma Mabakila, ambaye pia ni Meneja Masoko wa Jambo Concepts Ltd, watoaji wa gazeti hili. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC), Onesmo Ngowi, ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Ngumi za kulipwa Afrika (IBF), Shirikisho la Mashariki na Afrika ya Kati (ECAPBF).
No comments:
Post a Comment