|
Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki wakipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahunda Achentahka (kulia), wakati walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam jana. |

Baadhi
ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki
wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kituo
cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakati walipotembelea
Wizara hiyo jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment