TANGAZO


Thursday, October 11, 2012

Warembo Redd's Miss Tanzania watembelea Hifadhi ya Ngorongoro

 

Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakiangalia wanyama wa aina mbalimbali, wakitembelea Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro, wakati warembo hao walipofanya ziara katika hifadhi hiyo leo na kujifunza na pia kujionea mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wapo Kanda ya Kaskazini kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa Ndani.
 
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakiangalia maelezo mbalimbali na picha za Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro, wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo leo na kujifunza pia kujionea mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012, wapo Kanda ya Kaskazini kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa Ndani.
Baadhi ya warembo wa shindano la Redd's Miss Tanzania, wakiandika maelezo waliyokuwa wakipatiwa walipofika kwenye Hifadhi hiyo leo.
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakipiga picha ya pamoja katika eneo la Vie Pick katika Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro, wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo leo na kujifunza pia kujionea mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012, wapo Kanda ya Kaskazini kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa Ndani. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment