Waziri wa Afya na Ustawi
wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi (wa pili kulia), akikabidhiwa viti vya matairi
pamoja na vitu mbalimbali vyenye thamani ya dola za marekani 400,000 na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanataaluma wa Kiislamu Tanzania (TAMPRO), kwa ajili
ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) katika hafla iliyofanyika Dar es
Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi, Flora Kimaro. (Picha zote na Khamisi Mussa)
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi akipokea vifaa tiba kwa
niaba ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Waziri Dk.
Mwinyi (wa pili kulia), alipokuwa akiwasili Muhimbili kwa ajili ya kupokea msaada huo leo.
Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi, Flora Kimaro, akitoa shukrani katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment