Waziri wa fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na maongezi ya uwekezaji na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard. (Standard Bank) hapa jijini Tokyo- Japan.
Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na wajumbe kutoka nchi Mauritius kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Maendeleo ya uchumi, Bw. Ali Mansoor akifuatiwa na Makamu wa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha na Maendeleo ya uchumi , Mhe. Xavier – Luc Duval walipokuwa wakielezana juu ya maendeleo kati ya nchi hizi mbili Jijini – Japan – Tokyo




No comments:
Post a Comment