Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Usimamizi na Ufuatiliaji wa uwekaji miundombinu ya mfumo wa Digital ZBC, hafla iliofanyika katika jengo la Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk (watatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Usimamizi na Ufuatiliaji wa uwekaji wa miundombinu ya mfumo wa Digital ZBC, hafla iliyofanyika kwenye jengo la Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment