Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua vifaa vya kukamu asali baada ya kufungua maonyesyesho ya asali na mazo yatokanayo na nyuki, Viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 5, 2012. Kulia kwake ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallh Kigoda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kifurahia asali, wakati alipotembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema baada ya kufungua maonyesho ya kwanza ya Kitaifa ya asali na mazao yatokanayo na nyuki Viwanja vya maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Octoba 5, 2012. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment