Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini nchi humo (Tanzania Diaspora Conference), Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine, wakiimba wimbo wa Taifa katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada kabla ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference), Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada wakati wa kukufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference), Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012.
Sehemu ya Watanzania hao, waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete wakati ahihutubia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada wakati wa kukufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference), Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiangalia zawadi ya kinyago kilichochongwa kwa jiwe toka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Edmonton, Dk. Hassan Katalambula na MC wa shughuli hiyo, Dk. Sophie Yohani katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada baada ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference), Ijumaa Oktoba 5, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na baadhi ya Watanzania katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference), Ijumaa Oktoba 5, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipozi na kamati ya maandalizi katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada alipokwenda kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference), Ijumaa Oktoba 5, 2012. (Picha zote na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wasanii waalikwa kutoka Tanzania Joseph Haule 'Profesa J' (kushoto) na Mzee Yusuf katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012.
Rais Kikwete akiwa katika picha na baadhi ya viongozi, wageni na waalikwa mbalimbali. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, baada ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference), Ijumaa Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya Watanzania katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Baadhi ya Watanzania hao wakiwa katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment