JUMLA ya warembo 29
kati ya 30 wanaowania taji la REDDS MISS TANZANIA 2012 leo wameanza ziara rasmi
ya kutembelea Vivutio vya Utalii vilivyopo Kanda ya Kaskazini katika mikoa ya
Moshi, Arusha na Manyara.
kati ya 30 wanaowania taji la REDDS MISS TANZANIA 2012 leo wameanza ziara rasmi
ya kutembelea Vivutio vya Utalii vilivyopo Kanda ya Kaskazini katika mikoa ya
Moshi, Arusha na Manyara.
Warembo hao wakiongozwa na Viongozi wa Kamati ya Miss
Tanzania, wakiwa katika mikoa hiyo watatembelea vivutio hivyo na kuhamasisha
jamii ya watanzania kuwa na desturi ya kutembelea vivutio hivyo vyua ndani na
kuhamasisha utalii.
Tanzania, wakiwa katika mikoa hiyo watatembelea vivutio hivyo na kuhamasisha
jamii ya watanzania kuwa na desturi ya kutembelea vivutio hivyo vyua ndani na
kuhamasisha utalii.
Pia warembo hao watapata fursa ya kujifunza vitu mbalimbali
kuhusiana na masuala ya utalii. Oktoba 7, warembo hao watatembrelea Hifadhi ya
Mlima Kilimanjaro, katika lango kuu la kupandia Mlima huo la Marangu.
kuhusiana na masuala ya utalii. Oktoba 7, warembo hao watatembrelea Hifadhi ya
Mlima Kilimanjaro, katika lango kuu la kupandia Mlima huo la Marangu.
Aidha kwa mujibu wa ratiba hiyo, inaonesha kuwa warembo hao
watafanya tamasha la Michezo mjini Arusha kabla ya kuelekea Monduli ambako
Oktoba 8 watazuru Kaburi la Waziri Mkuu wa Zamani, Hayati Edward Moringe
Sokoine.
watafanya tamasha la Michezo mjini Arusha kabla ya kuelekea Monduli ambako
Oktoba 8 watazuru Kaburi la Waziri Mkuu wa Zamani, Hayati Edward Moringe
Sokoine.
Mrembo Fatma Ramadhani wa Elimu ya Juu, akiangalia vijana wafanya biashara wadogo wa bidhaa za mkononi katika kituo cha Chalinze.
Hapa warembo wakijichana kwa misosi ya nguvu |
Warembo wakila Misosi kwenye mgahawa wa Korogwe High Way.
Hawa waliamua kushow love kabla ya kupata mlo wao.
Warembo wakitafuta pahala pa kukaa kwa ajili ya kujichana kwa msosi. |
Washiriki wa Redds Miss Tanzania 2012, wakijisevia baadhi ya tomato kwenye chakula chao cha mchana.
Mrembo Mary Chizi akipiga picha na wahudumu wa jiko la msosi wa High Way.
Warembo wakipata chakula kwenye hoteli hiyo kabla ya kuendelea na safari.
Gari lililokuwa limewabeba warembo hao, likiwa limeegesha pembezoni mwa barabara, wakati warembo hao, walipokuwa wakipata chakula. |
Gari la warembo taratibu likianza Safari baada ya warembo kupata msosi.
Warembo wakimwaga stori huku safari ya kuitafuta Moshi, mkoani Kilimanjaro ikiendelea.
Warembo wakiwa wamepumzika ndani ya gari, huku wakimwaga tabasamu kibao. |
Kunywa na kutafuna havikukoma na warembo wa Redds Miss Tanzania walijinafasi.
Wrembo wakimwaga tabasamu la nguvu katika safari hiyo.
Warembo wakipata usingizi wakati safari ikiendelea.
Safari iliendelea hadi kuafika Moshi ndani ya Snow View Hotel Wilayani Hai.
No comments:
Post a Comment