TANGAZO


Tuesday, October 2, 2012

Warembo wa Redd's Miss Tanzania wawasili kwa Kambi jijini Dar es Salaam, Wajue warembo hao

 Mmoja wa warembo wa Shindano la Redd's Miss Tanzania, Irine Veda, akiwasili Hoteli ya Regency Dar es Salaam leo kwa ajili ya kwenda kwenye kambi yao, Hoteli  ya Giraffe, maeneo ya Whitesand jijini. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Mrembo Fatma Ramadhan, akiwasili Hoteli ya Regency tayari kwa safari ya kwenda kwenye kambi yao, Hoteli ya Giraffe, maeno ya White Sand jijini Dar es Salaam.

Warembo wa Kanda ya Kati, kutoka kushoto Belinda Mbogo, Elizabeth Diamond na Lightness Michael, wakiwa kwenye Hoteli ya Regency, baada ya kuwasili hapo kwa ajili ya kwenda kwenye kambi yao, Hoteli ya Giraffe, jijini Dar es Salaam leo.

Warembo Irene Veda kutoka Kanda ya Mashariki na Fatma Ramadhan, kutoka Arusha.

Waridi Frank na Anande Radhiel, wote kutoka Kanda ya Kaskazini.

Happyness Rweyemamu, Babylove Kalalaa, wote kutoka Kanda ya Ziwa na Noella Michael wa Ilala.



Rose Lucas na Joyce Baluhi, wote kutoka Kanda ya Mashariki
Karen Elias - Nyanda za Juu Kusini, Jesca Haule - Temeke na Vency Edward - Nyanda za Juu Kusini.


Flaviana Maeda - Temeke, Zuwena Nassib - Open University na Eda Sylvester - Temeke


Catherine Masumbigana - Temeke, Diana Hussein - Kinondoni (Dar Indian Ocean), Phina Revocatus - Miss High learning na Kudra Lupatu - Miss Kinondoni (Dar Indian Ocean)

Belinda Mbogo wa Kanda ya Kati.

Elizabeth Diamod wa Kanda ya Kati

Lightness Michael wa Kanda ya Kati

Waridi Frank kutoka Kanda ya Kaskazini. 

Anande Radhiel kutoka Kanda ya Kaskazini.

Irene Veda kutoka Kanda ya Mashariki.
 
Fatma Ramadhan kutoka Arusha.


Happyness Rweyemamu kutoka Kanda ya Ziwa. 

Babylove Kalalaa kutoka Kanda ya Ziwa.

 Noella Michael kutoka Ilala.

Rose Lucas kutoka Kanda ya Mashariki. 

Joyce Baluhi kutoka Kanda ya Mashariki.



Karen Elias kutoka Nyanda za Juu Kusini.

Jesca Haule kutoka Temeke.

Vency Edward kutoka Nyanda za Juu Kusini.


Flaviana Maeda kutoka Temeke.


 Zuwena Nassib kutoka Open University.

Eda Sylvester kutoka Temeke.

Catherine Masumbigana kutoka Temeke.

Diana Hussein kutoka Kinondoni - Dar Indian Ocean.

Phina Revocatus kutoka High learning.

Kudra Lupatu kutoka Kinondoni - Dar Indian Ocean.

Mary Chizi kutoka Ilala.

Washiriki wa Redds Miss Tanzania 2012, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Hoteli ya Regency tayari kuelekea kwenye kambi yao, Hoteli ya Giraffe, Dar es Salaam leo.

Washiriki wa Redds Miss Tanzania 2012, wakiwasili Hoteli ya Regency tayari kuelekea kwenye kambi yao, Hoteli ya Giraffe, Dar es Salaam leo.

Baadhi ya washiriki wa Redds Miss Tanzania 2012, wakiwasili Hoteli ya Regency tayari kuelekea kwenye kambi yao, Hoteli ya Giraffe, Dar es Salaam leo.

 Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Tanzania, Albert Makoye akizungumza na baadhi ya warembo wa shindano hilo, Hoteli ya Regency, Msasani Dar es Salaam leo kabla ya kwenda kwenye kambi rasmi Hoteli ya Giraffe, maeneo ya Whitesand jijini. 

No comments:

Post a Comment