Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Abduhamid Yahaya Mzee, wakati alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, kuiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar, ikiwa ni siku ya pili ya semina hiyo.
Katibu Mtendaji Tume ya Mipango, Bi. Amina Khamis Shaaban, akitoa mada ya nne ya Mpango wa Miaka mitano wa Utekelezaji wa Mkuza II katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar, mjini humo leo.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akichangia mada katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ikiwa leo ni siku ya pili ya semina hiyo inayoendelea katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahaya Mzee.
Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti katika Wizara ya Katiba na Sheria, Daima M. Mkalimoto, akichangia mada ya "Mpango Mkuu wa Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Mkuza II Zanzibar" katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa
Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar, ikiwa leo ni siku ya pili ya semina hiyo inayoendelea katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar, ikiwa leo ni siku ya pili ya semina hiyo inayoendelea katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Saleh Mohamed Jidawi, akichangia mada katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar, ikiwa leo ni siku ya pili ya semina hiyo inayoendelea katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanziba, Dk. Omar Dadi Shaajak.
Baadhi ya Watendaji wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi, wakisikiliza Mada zilizotolewa katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar, ikiwa leo ni siku ya pili ya semina hiyo inayoendelea katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, chini ya Mwenyekiti wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar, ikiwa leo ni siku ya pili ya semina hiyo inayoendelea katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahaya Mzee. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)


No comments:
Post a Comment