Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakipita katika maeneo mbalimbali ya kiwanda cha Bia cha TBL, mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum kutembelea kiwanda hicho. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.

Mshiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, Mary Chizi akicheza mchezo wa pool dhidi ya timu ya TBL Arusha. Warembo hao jana walitembelea kiwanda hicho cha Bia mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakicheza muziki aina ya Kwaito mara baada ya kumaliza ziara yao ya kutembelea Kiwabnda cha TBL cha mjini Arusha jana. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
No comments:
Post a Comment