TANGAZO


Sunday, October 14, 2012

Rais Kikwete azima mwenge wa Uhuru mkoani Shinyanga

 Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio za mwenge wa mwaka 2012, Kapteni Honest Mwanossa, wakati wa sherehe za kuzima mwenge zilizofanyika katika Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga leo, Oktoba 14.10.2012.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti na kikombe Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, jijini Dar es Salaam, Margareth Nyalile ambaye Manispaa yake ilishinda nafasi ya kwanza katika kufanikisha mbio za mwenge mwaka huu. Sherehe za kuzima mwenge zilifanyika mjini Shinyanga Oktoba 14.10.2012
(PIcha na John Lukuwi)

No comments:

Post a Comment