Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro akizungumza na Warembo wa Redd's Miss Tanzania kabla Warembo hao, hawajaanza ziara rasmi ya kutembelea kiwanda cha Bia Tanzania, Ilala Mchikichini, jijini Dar es Salaam leo.
Mpishi wa Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Godfrey Mgalula akitoa ufafanizi kwa Warembo wa Redd's Miss Tanzania juu ya upishi wa bia mbalimbali zinazozalishwa kiwandani hapo, wakati Warembo hao walipofanya ziara rasmi ya kutembelea kiwanda cha Bia Tanzania, Ilala Mchikichini, jijini Dar es Salaam leo.
Inginia wa Maswala ya Umeme wa TBL, Elias Nyanda akiwaelezea mambo mbalimbali warembo wa Redd's Miss Tanzania, wakati walipotembelea kiwanda cha Bia cha TBL jijini Dar es Salaam leo.
Inginia wa Maswala ya Umeme wa TBL, Elias Nyanda akiwaelezea mambo mbalimbali warembo wa Redd's Miss Tanzania, wakati walipotembelea kiwanda cha Bia cha TBL jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na mpigapicha wetu)





No comments:
Post a Comment