WAREMBO wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakiwa katika picha ya pamoja jana, Oktoba 7, 2012, wakati warembo hao walipo tembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro na kupata maelezo pamoja na kuzungumza na watalii mbalimbali na wapanda mlima huo. Warembo 29 na viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani.
Mbali na kutembelea hifadhi hiyo, lakini warembo hao pia walishiriki katika tamasha la michezo kwa ajili ya kuchangia fedha na vitu mbalimbali kwa Yatima wa mjini Arusha.
Oktoba 8, warembo wanaendelea na ziara yao, ikiwa ni pamoja na kutembelea kituo cha Redio cha RADIO 5 cha mjini Arusha.
Warembo wakiwa na msindikizaji wawatalii |
Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya warembo wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania
Warembo wakizungumza na mmoja wa wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro.
Warembo wakiwa katika eneo la maegesho ya magari la KINAPA
Warembo Wakielekea eneo la kupata taarifa mbalimbali za Mlima Kilimanajaro. |
Baadhi ya warembo wa Redd's Miss Tanzania wakielekea eneo la kupata taarifa mbalimbali za Mlima Kilimanajaro |
Wakielekea eneo la kupata taarifa mbalimbali za Mlima Kilimanajaro
Wakipiga picha na baadhi ya watalii waliowakuta katika eneo hilo.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania, wakimsikiliza Ofisa Hifadhi wa KINAPA, Eva Malya (kulia), aliyekuwa akiwapa taarifa mbalimbali juu ya Mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya warembo wa Redd's Miss Tanzania, wakimsikiliza Ofisa Hifadhi wa KINAPA, Eva Malya aliyekuwa akiwapa taarifa mbalimbali juu ya Mlima Kilimanjaro. |
Warembo wa Redd's Miss Tanzania, wakimsikiliza Ofisa Hifadhi wa KINAPA, Eva Malya aliyekuwa akiwapa taarifa mbalimbali juu ya Mlima Kilimanjaro. |
Warembo wa Redd's Miss Tanzania, wakitabasamu kwa furaha wakati wakimsikiliza Ofisa Hifadhi wa KINAPA, Eva Malya aliyekuwa akiwapa taarifa mbalimbali juu ya Mlima Kilimanjaro. |
Warembo wa Redd's Miss Tanzania, wakitabasamu walipogudua wakipigwa picha wakati wakimsikiliza Ofisa Hifadhi wa KINAPA, Eva Malya aliyekuwa akiwapa maelezo mbalimbali juu ya Mlima Kilimanjaro. |
Warembo wakiwa na nyuso za furaha wakiendelea kupata maelezo juu ya mlima
Hapa sasa walibeba mabegi ili wapande Mlima. (Picha zote na Father Kidevu)
No comments:
Post a Comment