1 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (wa
pili kulia), akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya
Ujerumani, wakati walipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo, leo Jumatatu Oktoba 8, 2012. Wa pili kushoto ni Mkuu wa msafara huo, Kauder na kulia ni Katibu wa Tume hiyo, Assaa Rashid. (Picha zote na Tume ya Katiba)
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kulia), akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya
Ujerumani, wakati walipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo leo, jijini
Dar es Salaam, Jumatatu Oktoba 8, 2012. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Msafara huo, Kauder.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (wa pili kulia), akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani, wakati walipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo, leo Jumatatu Oktoba 8, 2012. Wa pili kushoto ni Mkuu wa msafara huo, Kauder na kulia ni Katibu wa Tume hiyo, Assaa Rashid.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
(kulia), akibadilishana mawazo na Mkuu wa msafara wa wajumbe wa Kamati ya Sheria
ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani, Kauder (kushoto mbele), wakati ujumbe huo
ulipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo, leo Jumatatu, Oktoba 8,2012, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba (wa tatu kulia), akiagana
na wajumbe wa Kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya
Ujerumani, mara baada ya kutembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo, leo Jumatatu Oktoba 8, 2012, jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mkuu wa msafara huo, Kauder na wa kwanza kulia ni Katibu wa
Tume, Assaa Rashid.
No comments:
Post a Comment