Gari la pili la Polisi ambalo liliwachukuwa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO, ambao walishitakiwa kwa makosa ya kufanya fujo na uchochezi, likiwa linasindikizwa na magari ya Polisi kuja Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU), wakiwa wanaimarisha usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe, ambako Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO walipelekwa kwenda kusomewa mashitaka yao leo.
Gari la Polisi ambalo liliwachukuwa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO ambao walishitakiwa kwa makosa ya kufanya fujo na uchochezi, likiwa linawasili Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe, mjini Zanzibar leo.
Mmoja kati ya Viongozi wa UAMSHO, Sheikh Azan Khalid Hamdan (43), akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakamani, Mwanakwerekwe mjini Zanzibar kwenda kusomewa mashtaka yao.
Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO, Sheikh Farid Hadi Ahmed, akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakama ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar kwenda kusomewa mashtaka yao, yanayowakabili, ikiwemo kusababisha fujo na uchochezi.
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU), wakiwa wanaimarisha usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar, ambako Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO, walipelekwa kwenda kusomewa mashitaka yao leo.
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU), wakiwa wanaimarisha usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe, mjini Zanzibar, ambako Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO, walipelekwa kwenda kusomewa mashitaka yao.
Gari la Polisi ambalo liliwachukuwa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO, ambao walishitakiwa kwa makosa ya kufanya fujo na uchochezi, likiwa linawasili Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe, mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi walioenda Mahakamani hapo, kwenda kushuhudia kesi inayowakabili Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO, wakiwa Mahakamani Mwanakwerekwe mjini Zanzibar walikoshitakiwa viongozi hao. Viongozi hao wote walikosa dhamana na kurudishwa Rumande.

No comments:
Post a Comment