TANGAZO


Monday, October 22, 2012

Rais Kikwete katika kilele cha Mkutano Mkuu wa UWT, Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) leo.


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), uliofanyika mjini humo.


Sehemu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT, wakiimba na kufurahi, wakati Rais Jakaya Kikwete, alipowasili  kwenye ukumbi huo.


 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba, akizungumza katika mkutano huo, kabla ya kumkaribisha Rais Kikwete kuzungumza kwa ajili ya kuufunga mkutano huo.

Wanachama wakongwe wa UWT na CCM wakishangilia kwa nguvu wakati Rais Kikwete akiingia kwenye ukumbi uliofanyika mkutano huo.


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), mjini Dodoma leo.


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), mjini Dodoma leo.




Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), mjini Dodoma leo.



Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT, wakicheza ngoma ya Segere, wakati wa ufungaji wa mkutano huo mjini Dodoma leo.


Sehemu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT, wakijirusha kwa ngoma za Segere zilizokuwa ziimbwa na msanii Sizya Mazongela (kulia) wa kundi la Segere.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba na Katibu Mkuu Amina Makilagi (katikati) katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kuufunga mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), mjini Dodoma leo.


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakongwe wa UWT, katika ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma baada ya kuufunga Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) leo.


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wake wa viongozi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada kuufunga Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), mjini humo leo.


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi kwa picha na wanachama wakongwe wa UWT, Ikulu ndogo Dodoma mjini humo katika mchapo aliowaandalia wajumbe wa Umoja huo baada ya kutoka katika  ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), leo mjini humo. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment