TANGAZO

Monday, October 22, 2012

Makamu wa Rais Dk. Bilal afungua mkutano wa akinamama wajasiriamali kutoka nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki, uliofanyika leo Oktoba 22, Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini. (Picha na OMR)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki, uliofanyika leo Oktoba 22, Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki, uliofanyika leo, Oktoba 22, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki, uliofanyika leo Oktoba 22, Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini. 

No comments:

Post a Comment