TANGAZO


Monday, October 22, 2012

Rais Kikwete akutana na Ujumbe kutoka Kenya

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na Waziri wa Sheria wa Kenya, Mhe. Eugene Wamalwa wa Chama cha New Ford Kenya. Kulia kwake ni Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha, Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa  Chama cha TNA. Kushoto kwa Rais ni Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Mombasa, Mhe. Kambi Kazungu (kulia), Mbunge wa kuteuliwa wa chama cha TNA.  Bi. Rachel Shebesh, Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA, Moses ole Sakuda (kushoto) na Mbunge wa zamani, Mhe. Abdullahi Alli alipokutana na ujumbe huo, Ikulu jijini Dar es Salaam Jumapili Oktoba 21, 2012.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mkono na Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha, Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha TNA. Kushoto kwa Rais ni Waziri wa Sheria wa Kenya, Mhe. Eugene Wamalwa wa Chama cha New Ford Kenya. Wengine ni Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Mombasa, Mhe. Kambi Kazungu (kulia), Mbunge wa kuteuliwa wa Chama cha TNA, Bi. Rachel Shebesh,  Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA, Moses ole Sakuda (kushoto) na Mbunge wa zamani, Mhe. Abdullahi Alli alipokutana na ujumbe huo, Ikulu jijini Dar es Salaam Jumapili Oktoba 21, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipiga picha na ujumbe wa Kenya uliomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumapili, Oktoba 21, 2012. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha, Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa  chama cha TNA na Kulishoto kwa Rais Kikwete ni Waziri wa Sheria wa Kenya, Mhe. Eugene Wamalwa wa Chama cha New Ford Kenya.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha, Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa  Chama cha TNA, Waziri wa Sheria wa Kenya, Mhe. Eugene Wamalwa wa Chama cha New Ford Kenya, Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Mombasa, Mhe. Kambi Kazungu (kulia), Mbunge wa kuteuliwa wa chama cha TNA, Bi. Rachel Shebesh, Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA, Moses ole Sakuda (kushoto) na Mbunge wa zamani, Mhe. Abdullahi Alli alipokutana na ujumbe huo, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumapili Oktoba 21, 2012.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mkono na Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Mombasa, Mhe. Kambi Kazungu. Wengine ni  Waziri wa Sheria wa Kenya, Mhe. Eugene Wamalwa wa Chama cha New Ford Kenya, Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha, Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha TNA. Kushoto kwa Rais. Wengine kulia ni Mbunge wa kuteuliwa wa Chama cha TNA, Bi. Rachel Shebesh, Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA, Moses ole Sakuda (kushoto) na Mbunge wa zamani, Mhe. Abdullahi Alli alipokutana na ujumbe huo, Ikulu jijini Dar es Salaam Jumapili Oktoba 21, 2012. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment