Mkurugenzi Mwenza wa Shirika la The Centre for African Development Through Economics & Arts (ADEA), Philipo Lulale (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu Tamasha la Ngoma za Asili la Makuya 2012, litakalofanyika mkoani Mtwara, Novemba 17 hadi 18 mwaka huu, ambalo limedhaminiwa na Ubalozi wa Finland nchini na kufanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Nangwanda Sijaona, mjini Mtwara.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakichukua picha katika mkutano huo, wakati Mkurugenzi Mwenza wa Shirika la The Centre for African Development Through Economics & Arts (ADEA), Philipo Lulale (hayupo pichani), alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu Tamasha la Ngoma za Asili la Makuya 2012, litakalofanyika mkoani Mtwara, Novemba 17 hadi 18 mwaka huu, ambalo limedhaminiwa na Ubalozi wa Finland nchini na kufanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Nangwanda Sijaona, mjini Mtwara.

Mkurugenzi Mwenza wa Shirika la The Centre for African Development Through Economics & Arts (ADEA), Deogratias Mcfalls, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu Tamasha la Ngoma za Asili la Makuya 2012 litakalofanyika mkoani Mtwara, Novemba 17 hadi 18 mwaka huu, Uwanja wa Kumbukumbu ya Nangwanda Sijaona, mjini Mtwara. Kushoto ni Ofisa Ubalozi wa Finland, Jussi Nummelin, ambao ni wadhamini wa Tamasha hilo na kulia ni Mkurugenzi Mwenza wa Shirika hilo, Philipo Lulale.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo, wakati Mkurugenzi Mwenza wa Shirika la The Centre for African Development Through Economics & Arts (ADEA), Deogratias Mcfalls (hayupo pichani), alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu Tamasha la Ngoma za Asili la Makuya 2012, litakalofanyika mkoani Mtwara, Novemba 17 hadi 18 mwaka huu, ambalo limedhaminiwa na Ubalozi wa Finland nchini na kufanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Nangwanda Sijaona, mjini Mtwara.

Ofisa Ubalozi wa Finland, Jussi Nummelin, ambao ni wadhamini wa Tamasha hilo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu Tamasha la Ngoma za Asili la Makuya 2012 litakalofanyika mkoani Mtwara, Novemba 17 hadi 18 mwaka huu, Uwanja wa Kumbukumbu ya Nangwanda Sijaona, mjini Mtwara. Katikati ni Mkurugenzi Mwenza wa Shirika la The Centre for African Development Through Economics & Arts (ADEA), Deogratias Mcfalls na kulia ni Mkurugenzi mwenzake, Philipo Lulale.

No comments:
Post a Comment