TANGAZO


Monday, October 29, 2012

Mama Tunu Pinda ahitimu Shahada ya Uongozi wa Biashara, OUT


Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (mbele katikati), akiwa pamoja na wahitimu wenzake wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania (OUT), wakati wa mahafali ya chuo hicho yaliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani juzi. 

Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia kwenye mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika Kibaha, Oktoba 27, 2012. 

Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), John Samwel Malecela akimtunuku Shahada ya Uongozi wa  Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika Mahafali ya chuo hicho, yaliyofanyika kwenye viwanja vya chuo juzi, Oktoba 27, 2012, Kibaha mkoani Pwani. 


Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela akimtunuku Shahada ya Uongozi wa  Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria  yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo hicho Kibaha Oktoba 27, 2012.Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda. 

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea  zawadi ya ua kutoka wadogo zake Salma Rehani (kulia), Mkaroga Rehani (wapili kulia) na Mabe Rehani baada ya kutunukiwa Shahada ya Uongozi wa Biashara  katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye vianja vya Chuo hicho, Kibaha Oktoba 27, 2012.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza, Papius Yachitwi ambaye alitunukiwa BA in Linguistic katiak Mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye  vianja vya Chuo hicho, Kibaha Octoba 27, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho, John Samwel Malecela. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment