TANGAZO


Sunday, October 7, 2012

Sumaye azungumzia uchaguzi wa NEC wilayani Hanang


  Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uchaguzi wa NEC wilayani Hanang uliofanyika hivi karibuni na kuambulia patupu baada ya kushindwa katika uchaguzi huo. Hata hivyo Mh. Sumaye alilalamikia vitendo vya rushwa vilivyokuwa vimetawala katika uchaguzi huo (Picha Francis Dande wa Habari Mseto)
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wake huo, jijini Dar es Salaam leo kuhusu uchaguzi wa NEC, wilayani Hanang uliofanyika hivi karibuni na kuambulia patupu baada ya kushindwa katika uchaguzi huo. 
 Waandishi wa habari, wakiwa kazini wakati wa mkutano huo.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, kuhusu uchaguzi wa NEC, uliofanyika wilayani Hanang uliofanyika hivi karibuni.
Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakipata chai, kutoka kushoto ni Martin Malera, Tanzania Daima, Manyerere Jackton wa Jamhuri na Charles Mulinda wa Fahamu wakitafakari jambo.

No comments:

Post a Comment