Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa pamoja na viongozi wengine wakijumuika na waislamu na wananchi katika swala ya Eid el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein (wa tano kutoka kushoto), akiswali pamoja na viongozi wengine, waislamu na wananchi katika swala ya Eid el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo. Wa nne kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein (wa sita kutoka kushoto), akiswali pamoja na viongozi wengine, waislamu na wananchi katika swala ya Eid el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo. Watano kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad.Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein (wanne kutoka kushoto), akiomba dua pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali katika Swala ya Iddi El Hajji iliyoswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar, mjini Zanzibar leo.
Viongozi na baadhi ya Wananchi wakiomba dua Baada ya kumaliza Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar, mjini Zanzibar leo.
Baadhi ya Waislamu na wananchi wakisikiliza Hotuba, baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Soraga,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na waumini ya Dini ya Kiislamu baada ya kuswali swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.




No comments:
Post a Comment