TANGAZO


Friday, October 26, 2012

Rais Kikwete ashiriki Swala ya Idd kijijini Msoga

 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akishiriki katika Swala ya Iddi katika Masjid Rajab, kijijini kwake Msoga, Chalinze leo Asubuhi.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa Iddi na baadhi ya waumini walioshiriki kwenye Swala ya Iddi katika Masjid Rajab, Kijijini kwake Msoga, Kata ya Chalinze,Wilayani Bagamoyo leo asubuhi.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa Iddi na baadhi ya waumini walioshiriki kwenye Swala ya Iddi katika Masjid Rajab, Kijijini kwake Msoga, Kata ya Chalinze,Wilayani Bagamoyo leo asubuhi. (Picha zote na Freddy Maro) 

No comments:

Post a Comment