Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novactus Makunga katika
eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani
Hai leo.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa
ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimpongezza Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa hotuba nzuri ya kumkaribisha na
kumsifia kwa kazi anayofanya katika maendeleo ya miundombinu nchini katika eneo
la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai
leo.
Rais
Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama (katikati)
na
Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe wakizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi
wa ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai. (Picha kwa hisani ya
Ikulu)
Rais Jakaya Kikwete,
akisaidiwa kuzindua jiwe la msingi na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani
Bungeni na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe, katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa
Sadala-Masama wilayani Hai.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipongezwa na kupewa shukurani na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe katika eneo la
sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai
leo.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, Waziri wa Miundombinu, John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro, Leonidas Gama na Mbunge wa Hai, ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni
na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakikata utepe mojawapo ya magreda
katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama
wilayani hai leo.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, Waziri wa Miundombinu, John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro, Leonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni
na Mwenyekiti wa CHADEMA, wakiwa katika picha ya pamoja, Freeman Mbowe katika picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro baada ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa
Sadala-Masama, wilayani hai leo.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipongezwa na wananchi katika eneo la sherehe za uzinduzi wa
ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.











No comments:
Post a Comment