Rais
Jakaya Kikwete, akiangalia chupa ya tangawizi iliyotayari kuuzwa mara baada ya
Rais kufungua rasmi kiwanda cha kuzalisha Tangawizi kinachomilikiwa
na Umoja wa Walima Tangawizi Mamba katika Kijiji cha Goha, Kata ya Mamba
Miamba Wilayani Same, mkoani Kilimanjaro jana.
Rais
Jakaya Kikwete akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi, kinachomilikiwa na
Umoja wa Walima Tangawizi Mamba, Mhandisi Aim Luvanda, wakati amkimkaribisha
kufungua kiwanda cha kusindika Tangawizi.
Rais
Jakaya Kikwete akifungua rasmi kiwanda cha kusindika tangawizi katika Kijiji cha
Goha, Kata ya Mamba Miamba, wilayani Same, mkoani Kilimanjaro jana. Kushoto ni
Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi, kinachomilikiwa na Umoja wa Walima Tangawizi
Mamba, Mhandisi Aim Luvanda na Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne
Kilango Malecela ambaye amefanikisha ujenzi wa kiwanda hicho kwa asilimia
kubwa.
Rais
Jakaya Kikwete akipeana mkono na Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango
Malecela ambaye amefanikisha ujenzi wa kiwanda hicho mara baada ya Rais Kikwete
kufungua rasmi kiwanda hicho, katika Kijiji cha Goha. Kata ya Mamba Miamba,
wilayani Same, mkoani Kilimanjaro jana. Kushoto ni Meneja wa Kiwanda cha
Tangawizi, kinachomilikiwa na Umoja wa Walima Tangawizi Mamba, Mhandisi Aim
Luvanda.
Rais Jakaya Kikwete akikata
utepe kufungua rasmi langop kuu la Kiwanda hicho.
Rais
Jakaya Kikwete akikagua uzalishaji wa Tangawizi mara baada kufungua rasmi
kiwanda cha kusindika Tangawizi kinacho milikiwa na Ushirika wa wakulima wa
Tangawaizi katika Kata ya Mamba Miamba wilayani Same, mkoani Kilimanjaro
jana.
Rais Jakaya Kikwete
akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi, kinachomilikiwa na Umoja wa Walima
tangawizi Mamba, Mhandisi Aim Luvanda (kushoto), juu ya shughuli za uzalishaji
mara baada ya Rais Kikwete kufungua rasmi kiwanda hicho katika Kijiji cha Goha,
Kata ya Mamba Miamba wilayani Same, mkoani Kilimanjaro jana. Kulia ni Mbunge wa
Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela ambaye amefanikisha ujenzi wa
kiwanda hicho kwa asilimia kubwa.
Rais
Jakaya Kikwete akioneshwa chupa ya tangawizi iliyotayari kwa kuuzwa. Kushoto ni
Meneja wa Kiwanda cha Tangawizi, kinachomilikiwa na Umoja wa Walima tangawizi
Mamba, Mhandisi Aim Luvanda akimpa maelezo juu ya shughuli za uzalishaji mara
baada ya Rais Kikwete kufungua rasmi kiwanda hicho katika Kijiji cha Goha, Kata
ya Mamba Miamba, wilayani Same, mkoani Kilimanjaro
juzi.
| Rais Kikwete akisalimina na wananchi wa rika mbalimbali waliofurika katika uiwanja wa michezo wa Goha kata ya Mamba Miamba kumsikiliza. |
Rais
Kikwete akisalimina na wananchi wa rika mbalimbali waliofurika katika uiwanja wa
michezo wa Goha kata ya Mamba Miamba kumsikiliza.
Rais
Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti cha shukrani Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki,
Anne Kilango Malecela kwa kufanikisha ujenzi wa Kiwanda cha kusindika tangawizi
katika Kata ya Mamba Miamba Wilayani Same, Mkoani Kilimanjaro. Rais Kikwete
alifungua kiwanda hicho jana.
Mbunge
wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, akizungumza na wananchi katika
mkutano wa hadhara kabla ya Rais Kikwete kuhutubia hadhara
hiyo.
Rais Jakaya
Kikwete akiwahutubia wakazi wa Kata ya Mamba Miamba wilayani Same, mkoani
Kilimanjaro jana.

No comments:
Post a Comment