Mmoja wa Maofisa wa mtandao wa Internet wa Infinity Africa, akitoa maelezo kuhusu Kampuni hiyo ya mtandao, ambayo imezindua moja ya huduma zake ya YahClick, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Kampuni ya Mtandao huo wa Infinity Africa, Hussein Dharsee. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Mmoja wa Maofisa wa mtandao wa Internet wa Infinity Africa, akitoa maelezo kuhusu Kampuni hiyo ya mtandao, ambayo imezindua moja ya huduma zake ya YahClick, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya mawasiliano ya Startel, Aashiq Sharriff, Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Yahsat, Wesley Alexander na Mkurugenzi Mwanzilishi wa Kampuni ya Mtandao huo wa Infinity Africa, Hussein Dharsee.
Mmoja wa Maofisa wa mtandao wa Internet wa Infinity Africa, akitoa maelezo kuhusu Kampuni hiyo ya mtandao, ambayo imezindua moja ya huduma zake ya YahClick, Dar es Salaam leo.
Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Yahsat, Wesley Alexander, akiwasilisha mada kuhusu mfumo wa mtandao wa Infinitiy, nguvu na kasi yake, wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya YahClick, Dare es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya mawasiliano ya Startel, Aashiq Sharriff,
Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Yahsat, Wesley Alexander, akiwasilisha mada kuhusu mfumo wa mtandao wa Infinitiy, nguvu na kasi yake, wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya YahClick, Dare es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya mawasiliano ya Startel, Aashiq Sharriff,
Mfumo wa mtandao wa Internet wa Infinity Africa, unavyoonekana kijumla kama ilivyokuwa ikiwasilishwa na Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Yahsat, Wesley Alexander (kushoto), wakati akiwasilisha mada kuhusu mfumo huo wa mtandao.
Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Yahsat, Wesley Alexander, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wa uzinduzi wa huduma ya YahClick ya mfumo wa mtandao wa Infinitiy, Dare es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi Mwanzilishi wa Kampuni ya Mtandao huo wa Infinity Africa, Hussein Dharsee.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari, wakiwa katika uzinduzi huo, wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa.
Baadhi ya wapiga picha wa vyombo vya habari mbalimbali, wakiwa katika uzinduzi huo, wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa.
Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Yahsat, Wesley Alexander, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kuwasilisha mada kuhusu mfumo wa mawasiliano wa mtandao wa Infinitiy, nguvu na kasi yake, wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya YahClick, Dare es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya mawasiliano ya Startel, Aashiq Sharriff.
Mmoja wa Maofisa wa mtandao wa Internet wa Infinity Africa, akitoa maelezo kwa waandishi wa habari, katika kufafanua kuhusu huduma hiyo mpya ya YahClick, Dar es Salaam leo.












No comments:
Post a Comment