TANGAZO


Monday, October 15, 2012

Rais Kikwete awasili Muscat nchini Oman kwa ziara rasmi ya siku tatu

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake, Sultan wa Oman Al-Qaboos bin Said Al Said wakipokea heshima za viongozi muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili jijini Muscat, Oman leo mchana kwa ziara rasmi (State Visit) ya siku tatu nchini humo. (Picha zote na Freddy Maro)

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake, Sultan wa Oman Al-Qaboos bin Said Al Said wakipokea heshima za viongozi muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili jijini Muscat, Oman leo mchana kwa ziara rasmi (State Visit) ya siku tatu nchini humo.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto), akizungumza na mwenyeji wake Sultan wa Oman,  Al-Qaboos bin Said Al Said katika kasri la Sultan, jijini Muscat leo.

No comments:

Post a Comment