TANGAZO


Monday, October 15, 2012

Makamu wa Rais Dk. Bilal awaaga Mahujaji wa Tasisi ya Khidmat Islamiyah wakienda Hijja nchini Saudia

Kiongozi wa msafara wa Mahujaji wa kundi la Tasisi ya Khidmat Islamiyah, Twalib Ahmad, akitoa maelezo machache kwa Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal (kulia kwake), wakati Makamu wa Rais, alipofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuwaaga mahujaji hao, waliokuwa wakisafiri na Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. Kulia kwa Makamu wa Rais ni Balozi wa Saudia nchini, Hani Abdullah Muuminah. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Baadhi ya Mahujaji wa kundi la Tasisi ya Khidmat Islamiyah, wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Kiongozi wa msafara wa kundi lao kwa Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal  (hayupo pichani), wakati Makamu wa Rais, alipofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuwaaga mahujaji hao, waliokuwa wakisafiri na Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. 

Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal (wa pili kulia) na Balozi wa Saudia nchini, Hani Abdullah Muuminah (kulia kwake), wakiwaombea dua Mahujaji wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana wakati alipokuwa akiwaaga, kabla ya kusafiri na Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. 

Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mahujaji wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana, wakati alipokuwa akiwaaga kabla ya kusafiri na Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. Kulia kwake ni Balozi wa Saudi Arabia nchini, Hani Abdullah Muuminah.

Balozi wa Saudia nchini, Hani Abdullah Muuminah, akizungumza na Mahujaji wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana, wakati walipokuwa wakiaagwa na Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal (kushoto kwake), kabla ya kupanda Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hijja. 

Baadhi ya Mahujaji wa kundi la Tasisi ya Khidmat Islamiyah, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (hayupo pichani), wakati alipofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuwaaga kabla ya kupanda Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. 

Balozi wa Saudia nchini, Hani Abdullah Muuminah, akimueleza jambo Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal (kushoto kwake), wakati alipofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuwaaga Mahujaji wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, waliokuwa wakisafiri na Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hijja. 

Kiongozi wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, Sheikh Juma Rajab, akieleza jambo kwa Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal (kulia), aliyefika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuwaaga Mahujaji wa taasisi hiyo, waliokuwa wakisafiri na Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hijja. Katikati ni Balozi wa Saudia nchini, Hani Abdullah Muuminah.



Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal (kulia) na Balozi wa Saudia nchini, Hani Abdullah Muuminah (wa pili kulia), wakiitikia dua pamoja viongozi na Mahujaji wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, dua iliyokuwa ikisomwa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (katikati), wakati Makamu wa Rais, alipofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini jana kuwaaga Mahujaji hao, waliokuwa wakisafiri na Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. 

Mahujajji wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, wakiitikia dua iliyokuwa ikisomwa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (hayupo pichani), wakati Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, alipofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini jana kuwaaga kabla ya kupanda Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. 
Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto) na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Hani Abdullah Muuminah wakimkabidhi Msahafu wa Kuraan Tukufu, mmoja wa mahujaji, Rehema Hussein wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah,  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana wakati alipokuwa akiwaaga Mahujaji hao, waliokuwa wakisafiri na Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. Katikati ni Mwakilishi wa Shirika la ndege la Emirates nchini, Abdul Aziz Al-Hai. 

Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal akiwapungia mikono Mahujaji wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, wakati alipokuwa akiwaaga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kabla kupanda Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. Kulia kwa Makamu wa Rais ni Balozi wa Saudia nchini, Hani Abdullah Muuminah.

Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal akiwapungia mikono kuwaaga Mahujaji hao wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kabla kupanda Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. Kulia kwake ni Balozi wa Saudia nchini, Hani Abdullah Muuminah.

Baadhi ya Mahujaji wa kundi la Tasisi ya Khidmat Islamiyah, wakiwa katika chumba cha kupumzikia wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (hayupo pichani), wakati akiwaaga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kabla ya kupanda Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. 

Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal (wa tatu kushoto), Balozi wa Saudia nchini, Hani Abdullah Muuminah ( wa nne) na Mwakilishi wa Shirika la ndege la Emirates nchini, Abdul Aziz Al-Hai (wa pili kulia), wakipiga picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi ya Khidmat Islamiyah, wakati Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, alipofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kuwaaga Mahujaji wa taasisi hiyo, kabla ya kupanda Ndege ya Shirika la Emirates kwenda Jidah nchini Saudia kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija. 

No comments:

Post a Comment