TANGAZO


Monday, October 15, 2012

Wasanii Anti Ezekiel, Wema waomba radhi Watanzania kwa kuonesha sehemu za siri wakiburudisha Serengeti Fiesta Dodoma

Msanii wa Filamu nchini, Anti Ezekiel, akizungumza na waandishi wa habari, Dares Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Wema Sepetu (hayupo pichani), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Msanii wa Filamu nchini, Anti Ezekiel, akizungumza na waandishi wa habari, Dares Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Wema Sepetu (hayupo pichani), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi na kulia ni msanii wa tasnia hiyo, Hisani Muya 'Tino'.

Msanii wa Filamu nchini, Anti Ezekiel, akizungumza na waandishi wa habari, Dares Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Wema Sepetu (hayupo pichani), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kulia ni msanii wa tasnia hiyo, Hisani Muya 'Tino'.

Msanii wa Filamu nchini, Anti Ezekiel, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dares Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Wema Sepetu (hayupo pichani), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi na kulia ni msanii wa sanaa hiyo, Hisani Muya 'Tino'.

Baadhi ya waandishi wa habari, wakifuatilia habari zilizokuwa zikitolewa na wasanii wa Filamu nchini, Anti Ezekiel na Wema Sepetu (hawapo pichani), wakati walipokuwa wakizungumza nao, wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. 

Msanii wa Filamu nchini, Anti Ezekiel, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), Dares Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Wema Sepetu (hayupo pichani), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kulia ni msanii wa sanaa hiyo, Hisani Muya 'Tino'.

Hapa msanii wa Filamu nchini, Anti Ezekiel, akiwa amevua mawani baada ya kutakiwa kufanya hivyo na mmoja wa waandishi, wakati akifafanua jambo kwao, Dares Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Wema Sepetu (hayupo pichani), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi na kulia ni msanii wa sanaa hiyo, Hisani Muya 'Tino'.

Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi akiweka wazi kuhusu wasanii wa Filamu, Anti Ezekiel (kulia) na Wema Sepetu (hayupo pichani), kuhusu suala la kuwataka kuwaomba radhi Watanzania mbele ya waandishi wa habari, Dares Salaam leo kuhusu sakata lao la picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. 

Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi akifafanua jambo kuhusu wasanii wa Filamu, Anti Ezekiel (katikati) na Wema Sepetu (hayupo pichani), kuhusu suala la kuwataka kuwaomba radhi Watanzania mbele ya waandishi wa habari, Dares Salaam leo, kuhusiana na sakata la picha zao, zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kulia ni msanii wa sanaa hiyo, Hisani Muya 'Tino'.

Msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu (kulia), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Anti Ezekiel (hayupo pichani), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi.


Msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Anti Ezekiel (hayupo pichani), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kulia kwake ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi.


Msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Anti Ezekiel (kulia), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi.

Msanii wa filamu, Anti Ezekiel, akizungumza na waandishi wa habari, Dares Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Wema Sepetu (katikati), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi.

Msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu (katikati kulia), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Anti Ezekiel (kulia), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. 

Baadhi ya wapigapicha wakichukua matukio na habari zilizokuwa zikitolewa na wasanii wa Filamu nchini, Anti Ezekiel na Wema Sepetu (hawapo pichani), wakati walipokuwa wakizungumza nao, wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. 


Msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu (katikati), akianza kuzungumza hovyo kutokana na kukerwa na moja ya masuali aliyoulizwa na mmoja wa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati yeye na mwenzake, Anti Ezekiel (kulia), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi.


Wema Sepetu (katikati), akizidi kupandwa na jazba kwa kukerwa na suali hilo, aliloulizwa na mmoja wa waandishi wa habari, jijini leo wakati yeye na mwenzake, Anti Ezekiel (kulia), walipokuwa wakiwaomba radhi Watanzania kutokana na picha zao zilizopigwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, mjini Dodoma kutoka kwenye mitandao na baadhi ya magazeti zikiwaonesha sehemu zao za siri. Kushoto ni Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi.

Wema hasira zikiwa bado zinamkereketa moyoni mwake na kuendelea kuzitoa kwa mwandishi huyo wa magazeti ambayo huandika habari za kiudaku udaku nchini, zinazohusu watu, jamii na mazingira yao ya maisha.

Hapa Wema, akiwa ametulia lakini akiwa ni mwenye mawazo baada ya kujikaza kuzuiya hasira zake na huku Katibu wa Chama cha Filamu Tanzania (TAFA), Wilson Makubi, akiendelea na kutoa ufafanuzi wa sakata la wasanii hao. 

No comments:

Post a Comment