TANGAZO


Wednesday, October 10, 2012

Rais Kikwete amwapisha Mkuu wa Jeshi la Magereza

Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmiri Minja, akila kiapo mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi. (Picha na Freddy Maro)

Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmiri Minja, Ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.

Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja, akipokea miongozo ya kazi kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete, wakati wa hafla ya kuapishwa, iliyofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

  

No comments:

Post a Comment