Mama Tunu Pinda akisalimiana na mtalamu wa asali, Bi. Mery Winzer Canning kutoka Cambridge Hony Bees Keeping.
Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda akipata maelezo kutoka kwa mtafiti wa tiba asilia wa Chuo Kikuu cha Muhimbili, Danieli Kamala kuhusu dawa zinazotengenezwa kwa kutumia asali, wakati wa maonesho hayo ya bidhaa zitokanazo na nyuki, ambayo yameanza leo katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, ambapo yanahuisha Halimashauri zote nchini, zinazo zalisha asali.

No comments:
Post a Comment