TANGAZO


Monday, October 1, 2012

Kocha mpya Yanga aanza kazi rasmi Jangwani

 Wachezaji wakijifua kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Simba siku ya Jumatano ya keshokutwa.
 Wachezaji wakijifua kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Simba siku ya keshokutwa Jumatano.
  Wachezaji wa Yanga wakimsikiliza kocha wao mpya, Emstus Wilhelmus Johannes Brandts wakati wa mazoezi ya timu hiyo, kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola jijini Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Simba, wakiwa chini ya kocha wao mpya raia wa Uholanzi, Emstus Wilhelmus Johannes Brandts kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment