| Kikosi cha timu ya Yanga kilichopambana na African Lyon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo |
| Kikosi cha timu ya African Lyon kilichopambana na Yanga, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo |
Mchezaji Hamis Kiiza wa Yanga, akimtoka Obina Salamusasa wa African Lyon wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es alaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk na Francis Dande)
Mchezaji Hamis Kiiza wa Yanga, akikimbia na mpira huku akifuatwa sambamba na Obina Salamusasa wa african Lyon, wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es alaam leo.
Mchezaji Hamis Kiiza wa Yanga na Obina Salamusasa wa African Lyon wakikiwania mpira, wakati wa mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji Benedictor Mwamlangali wa African Lyon (kushoto), akiwania mpira na Kelvin Yondani wa Yanga wakati wa mchezo huo, jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Taifa leo.
Wachezaji Benedictor Mwamlangali wa African Lyon (kushoto), akikimbilia mpira na Kelvin Yondani wa Yanga wakati wa mchezo huo, jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Taifa leo.
Mchezaji Idd Mbaga wa African Lyon (kushoto), akikimbilia mpira na Mbuyu Twite wa Yanga wakati wa mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo jioni. Katika mchezo huo, Yanga imeshinda mabao 3-1.
Mfungaji wa bao lililokuwa la kusawazisha kwa timu ya African Lyon, akifurahia bao lake hilo, ambalo halikudumu na Yanga kuongeza bao la pili na kisha la tatu lililofunga karamu ya mabao kwa timu hiyo.
Wachezaji wa Athumuni Chuji wa Yanga, akijizuia asidondoke wakati alipokuwa akipambana na Hood Mayanja wa African Lyon.
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa African Lyon wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1. (Picha zote Kassim Mbarouk na na Francis Dande)
Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza (kulia) akichuana na beki wa African Lyon, Obina Salamusasa.










No comments:
Post a Comment