TANGAZO


Thursday, August 9, 2012

Waziri Mkuu Pinda katika picha Bungeni leo mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kisalimiana na  Wabunge wa Viti  Maalum, Martha Mlata (mwenye nguo nyekundu) na Diana Chilolo (mwenye vazi jeusi) pamoja na wageni wao ambao ni wachungaji kutoka Singida, kwenye viwanja vya Bunge, mjini Dodoma Agust 9, 2012. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa  katika picha ya pamoja  na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Tetra ya mjini Arusha, walipotembelea Bunge leo, Agust 9, 2012, mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment